Jumapili, 5 Novemba 2017

Hawa ndio kasuku wanaotafuna nyaya za mtandao Australia

Mtandao wa thamani ya mabilioni ya dola nchini Australia uko kwenye hatari kutokana na uharibifu unaosababishwa na ndege aia ya kasuku.

Kampuni ya mtandao ya taifa (NBN) inasema kuwa imetumia maelfu ya dola kukarabati nyaya zilizotafunwa na kasuku.

Mtandao nchini Austalia mara nyingi imekosolewa kwa kasi ya chini na kuorodheshwa nanba 50 kote duniani

NBN inakadiria kuwa huenda gharama hiyo ikapanga wakati uchunguzi zaidi ukifanywa.

Inaripotiwa kuwa rangi ya nyaya hizo huenda zimevutia kasuku kuzitafuta.

Hakuna maoni: