Jumanne, 28 Novemba 2017

Chelsea njia nyeupe kwa Aubameyang

Pierre-Emerick Aubameyang atauzwa kwenda Chelsea kama watamtaka.

Taarifa za ndani kutoka Borussia Dortmund zinaeleza, Aubameyang anaonekana anataka kuondoka.

Katika mechi iliyopita ya Ligi Kuu Ujerumani maarufu kama Bundesliga, Aubamenyang alilambwa kadi nyekundu.

Kocha alisema, kutolewa kwake kulichangia Schalke kusawazisha mabao yote manne baada ya wao kuongoza kwa 4-4 hadi dakika ya 60.

Lakini imeelezwa, Dortmund wameamua kumuuza Aubameyang na mwenye anaonekana yuko tayari.

Kinachosubiriwa ni dirisha kufunguliwa ili biashara ifanyike.

Hakuna maoni: