Jumamosi, 4 Novemba 2017

BREAKING: WATU WANNE WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI

Magari mawili yamegongana uso kwa uso katika barabara ya Morogoro Iringa maeneo ya Sangasanga na kusababisha vifo vya watu 4 na wengine majeruhi.

Kamanda wa Zimamoto wa Mkoa wa Morogoro amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na zoezi la kuwanasua majeruhi linaendelea



Hakuna maoni: