Jumatano, 4 Oktoba 2017

WATU 9 WAFARIKI ,WENGINE MAHUTUTI BAADA YA KUNYWA GONG0-KIMARA



Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba watu 9 wamefariki na wengin kadhaa wamelazwa Hospitalini baada ya kudaiwa kunywa pombe aina ya gongo huko Kimara Stop Over-Jijini Dar es salaam.

Tarrifa zaidi tutakuletea hapo baadae


Hakuna maoni: