Akiwa kwenye Mkutano wa 33 wa Jumuiya Ya Tawala za Mitaa (ALAT) ambao uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam amenukuliwa akisema "Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alipojaribu kuzungumza kidogo vita ikawa kubwa kwake, Wanasema hajasoma hajafanya nini, mimi hata kama hajui A ila anakamata madawa kwangu ni msomi mzuri".
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni