Jumatano, 4 Oktoba 2017

Video Mpya ya Lady Jaydee – I Miss You

Lady Jaydee ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘I Miss You’. Wimbo umetayarishwa na Man Walter wakati video imefanyika Afrika Kusini na imeongozwa na Justin Campos pamoja na Icandi.


Hakuna maoni: