Taarifa mpya ambazo huzijui kumuhusu Rais wa WCB, Diamond Platnumz ni kwamba msanii huyo kwa kipindi amekuwa chini ya usimamizi wa Mameneja wa tatu ambao Mkubwa Fella, Babu Tale na Salam Sk.
Kwamujibu wa Meneja wa msanii huyo Mkubwa Fella ameieleza Muungwana Blog & Tv kuwa msanii huyo ameongeza mtu mwingine ambaye ni raia wa Marekani atakayeshughulikia masuala yote ya muziki kuhusu Diamond nchini Marekani, Vipi kuhusu tuhuma za Views kwenye Youtube? vyote amejibu humo...
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni