Mshambuliaji wa Brazil, Neymar ameumia kidole akiwa katika mazoezi ya kikosi hicho.
Brazil inajiandaa kuivaa Bolivia na Chile katika mechi za kuwania kucheza Kombe la Dunia, Hata hivyo, Brazil wameishafuzu.
Imeelezwa Neymar anayechezea PSG ya Ufaransa ameumia lakini si kwa kiwango kikubwa cha maumivu.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni