Michelle na mimi tunawaombea wahanga wa mauwaji ya Las Vegas. Fikra zetu zipo pamoja na familia zao na yeyote anaevumilia/anaye alieguswa na msiba usio na maana.
Ikumbukwe kua Bwana Obama alikua mstari wa mbele katika kupigania marekebisho ya matumizi ya siraha ndani ya taifa hilo lenye nguvu zaidi duniani.
idadi ya walio uawa imeripotiwa kupindukia 58, Ambayo ni idadi kubwa zaidi kuwahi kutokea Marekani. unayopaswa kuyajua mpaka sasa kuhusu mauwaji ya Las Vegas
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni