Jumatano, 4 Oktoba 2017

JAMAA WAMEDUKUA ACOUNT YA TWITTER YA TTCL,ONA WALICHOPOST

 

Watu wasiojulikana wame "hack" account ya twitter ya kampuni ya simu TTCL na kuandika ujumbe huu


TTCL yaomba radhi kufuatia ujumbe huo ulioonekana kwenye ukurasa wake wa #Twitter mapema leo asubuhi.



Hakuna maoni: