Rais wa WCB, Diamond Platnumz amesherehekea mfanano wa siku yake ya kuzaliwa Jumatatu hii ya Oktoba 2, kwa kutembelea hospitali aliyozaliwa ya Amana Ilala Jijini Dar es salaam na kutoa zawadi kwa Watoto waliozaliwa siku kama ya kwake ikiambatana na msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya tsh milioni 4.
Muda wote aliokuwa hospitalini hapo wagonjwa na waliokuwa wakiwahudumia walitoka kwa ajili ya kumuona msanii huyo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni