Jumatano, 4 Oktoba 2017

ASLAY AACHIA WIMBO MPYA-NATAMBA

Aslay anaonekana yupo serious na game ya Bongo ikiwa ni wiki chache tu toka aachia video ya ‘Pusha’ na sasa ametoa audio yake mpya ya ‘Natamba’ ambayo imetayarishwa na Shirko.

Isikilize hapachini


Hakuna maoni: