Jumatano, 4 Oktoba 2017

ACT watoa ya moyoni kuhusu wafanyakazi

Chama cha ACT Wazalendo kimesikitishwa na kauli zisizo za kiuongozi zilizotolewa jana na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Magufuli zinazohusu maslahi ya wafanya kazi.

Hayo yamesemwa leo jiji Dar es salaam na Katibu, Itikadi, Mawasiliano nA Uenezi Ado Shaibu makao makuu ya chama hicho na kusema kuwa rais inabidi atambue wajibu wa wafanya kazi nchi ili kuendana na kauli alizokuwa anazitoa kipindi cha kampeni.
                     

                                            ANGALIA VIDEO HII...

                                         https://youtu.be/5BHXSEZPvxw

Hakuna maoni: