Jumamosi, 23 Septemba 2017

MWANAUME MWINGINE ACHOMWA KISU NA MKE WAKE WAKIGOMBANA

Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Maria Mwanahiya mkazi wa  kijiji cha Ntatumbila  wilaya Nkasi mkoani Rukwa amemjeruhi vibaya mume wake kwa kumchoma kisu ubavuni kwa madai kuwa alipata hasira baada ya kukerwa na kitendo cha mume wake kumlazimisha kuacha starehe zake ikiwemo kunywa pombe.
Read more »

Hakuna maoni: