The foundation for civil society ni taasisi inayohusika na vijana (USHILIKI NA NA USHIKISHWAJI KWA VIJANA) imeandaa tamasha la vijana kwa madhumun ya kusaidia vijana na kutoa fulsa kwa vijana wa jinsi na jinsi (zote wakike na kiume.)
Taasisi hiyo inayozaminiwa na (T.E.E.O) Tanzania youth enterprenushirp and empowerment organization) Leo imeandaa tamasha la vijana katika maeneo ya keko juu
Timu ya vijana Keko juu |
Dhumuni la taasisi hii.
Lengo na madhumuni ushilika na ushilikishwaji wa vijana katika kuunda na kutekeleza Sera za maendeleo no muhimu kwa maendeleo endelevu ya vijana.
Timu ya Vijana keko youth |
Mratibu(co - Ordinator) wa taasisi hiyo Girbert Daniel amezungumzia fulsa zinazotolewa katika taasisi
COORDINATOR; Girbety Daniel |
1. Kushilikisha kuelewa na ushiliki na ushilikishaji wa vijana katika ngazi ya mtaa na kata kufanya maamuzi ya maendeleo yao.
2. Kuwasaidia vijana kufikia wa maendeleo wa vijana katika ngazi zao za wilaya.
3. Kuongeza kipato cha vijana kupitia ujasilia mali
Kama wewe ni kijana. Kijana kwa tafsiri iliyomo kwenye sera ya maendeleo( ya vijana ya mwaka 2007 ni mtu mwenye umri kati ya miaka 15 na 35.)
Unakaribishwa sana kushiriki katika harakati hizi za kuziona fursa na kuzifanyia kazi. Kama ilivyo semwa awali tamasha hili limelenga kuwapata vijana wapenda maendeleo pia ili taasisi iweze kuwashirikisha katika fursa mbalimbali za kiujasiliamali pamoja na mafunzo yatakayo endeshwa bila gharama.
Maelezo zaidi yanaweza kupatikana Makao ya Taasisi hiyo yanayopatikana Gongo La mboto Mwisho. Unaweza kuwasiliana na mratibu wa mradi kwa namba za simu zifuatazo kwa maelekezo zaidi na ushauri.
0672239714.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni