Ijumaa, 22 Septemba 2017

Bunge lamjibu Freeman Mbowe

Mbunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania leo Septemba 22, 2017 limeibuka na kutoa maelezo kufuatia kauli aliyotoa Freeman Mbowe kuhusu fedha za wabunge ambazo walichanga kwa ajili ya matibabu ya Tundu Lissu na kusema tayari wametuma fedha hizo.






Hakuna maoni: