Jumanne, 26 Septemba 2017

BREAKING: Basi la abiria kutoka Tanga- Dar lawaka moto


Gari ya Tashriff iliyokuwa ikitoka Tanga mjini kuelekea Dar es salaam, limeungua moto maeneo ya PONGWE majira ya saa 8: 30 mchana wa leo.










Hakuna maoni: