Alhamisi, 23 Novemba 2017

VideoMPYA: Roma na Stamina Ft. Maua Sama........ Dr. Shika ( 900 Itapendeza ) Naye Kapewa Nafasi ya Kuuza Sura

Roma na Stamina wametoa ngoma mpya ambapo  wamemshirikisha Mwimbaji Staa Maua Sama, 

Ndani ya ngoma hiyo, Dr Shika aliyejizolea umaarufu wa 900 itapendeza nae kaonekana.



Hakuna maoni: