Alhamisi, 23 Novemba 2017

TAARIFA KUTOKA TFF:MABADILIKO YA UWANJA ,MECHI YA SIMBA NA LIPULI





Shikirisho la Mpira wa miguu nchini TFF leo limetoa taarifa kuwa mchezo wa ligi kuu kati ya Simba na  Lipuli jumapili hii mbao ulipelekwa uwanja wa Azam Complex sasa utafanyika katika uwanja.wa Uhuru.

Mkurugenzi wa wa Bodi ya Ligi,Boniface Wambura amesema Serikali imeiandikia barua bodi ya ligi ikisema uwanja wa Uhuru utakuwa na matumizi mengine Jumamosin a siku ya Jumapili utakuwa wazi.

Kwahiyo mechi ya Yanga na Prison siku ya jumamosi itafanyika katika uwanja wa uhuru kama ilivopangwa.


Hakuna maoni: